Mwanasheria Mkuu wa Serikali ashiriki kuaga na kutoa heshima za mwisho kwa Hayati Cleopa David Msuya

DAR-Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mhe. Hamza S. Johari tarehe 11 Mei, 2025 ameungana na viongozi mbalimbali wa Serikali na wananchi kushiriki kuaga na kutoa heshima za mwisho kwa aliyekuwa Makamu wa Kwanza wa Rais na Waziri Mkuu Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati Mhe. Cleopa David Msuya katika Viwanja vya Karimjee, jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amewaongoza waombolezaji kuaga na kutoa heshima za mwisho kwa Hayati Mhe. Msuya.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news