HAKUWA mtu wa kujionesha, lakini kila aliyekuwa karibu naye alijua changamoto yake kubwa ilikuwa ni uzito. Alikuwa na mwili mkubwa tangu utotoni na hilo lilimletea matatizo ya kisaikolojia.
Alikuwa mtu wa kujificha, hakupenda kupigwa picha na kila mara aliona watu wanamcheka. Jina lake ni Hellen, rafiki yangu wa karibu tangu tukiwa sekondari.
Baada ya kumaliza shule, kila mmoja wetu aliendelea na maisha yake, ila tulibaki tukiwasiliana mara kwa mara. Ilikuwa ni miaka miwili tangu tuonane uso kwa uso.

Nilishangaa sana nilipokutana naye mjini siku moja hakuonekana kama yule Hellen niliyemjua.
Alikuwa amepungua uzito kupita kiasi, uso wake ulikuwa laini na mng’ao wa ajabu. Kwa kweli, alibadilika kiasi kwamba nilimkumbatia na kujiuliza mara mbili kama...SOMA ZAIDI HAPA