Rais Dkt.Mwinyi apokea Ripoti ya CAG

ZANZIBAR-Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amepokea Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Zanzibar (CAG) kwa kipindi cha mwaka wa fedha 2023/2024 kutoka kwa Dkt. Othman Abbas Ali, alipokuja Ikulu Zanzibar kuikabidhi rasmi tarehe 12 Mei 2025.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news