ZANZIBAR-Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mheshimiwa Dkt.Hussein Ali Mwinyi amefanya uteuzi wa wakurugenzi wa manispaa, mabaraza ya miji na halmashauri za wilaya za Unguja na Pemba katika Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa,Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ.
Miongoni mwa walioteuliwa ni kama ifuatavyo;


