Rais Dkt.Netumbo Nandi-Ndaitwah akutana na mwenyeji wake Rais Dkt.Samia
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan amempokea Rais wa Jamhuri ya Namibia, Mheshimiwa Dkt. Netumbo Nandi-Ndaitwah Ikulu jijini Dar es Salaam, Mei 20, 2025.