Rais Dkt.Samia aboresha taarifa zake Daftari la Kudumu la Wapiga Kura

DODOMA-Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt.Samia Suluhu Hassan ameboresha taarifa zake za mpiga kura katika Kijiji Chamwino Ikulu huku akiwataka watanzania kuwa wazalendo kwa kuchangamkia haki yao ya msingi ya kujiandikisha.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akionyesha kadi yake ya mpiga kura mara baada ya kushiriki zoezi la uboreshaji wa taarifa zake katika Daftari la Kudumu la Mpiga Kura tarehe 17 Mei, 2025 katika Ofisi ya Serikali ya Kijiji, Chamwino mkoani Dodoma.

Uboreshaji wa taarifa za mpiga kura awamu ya pili ulianza Mei 16,2025 na unatarajia kukamilika Mei 22,mwaka huu ambapo Rais Samia amehakiki taarifa zake katika kitongoji cha Sokoine Kijiji cha Chamwino Ikulu.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akioneshwa taarifa zake kama zipo sahihi wakati akishiriki zoezi la uboreshaji wa taarifa katika Daftari la Kudumu la Mpiga Kura tarehe 17 Mei, 2025 katika Ofisi ya Serikali ya Kijiji, Chamwino mkoani Dodoma, kulia ni Mwendesha Kifaa cha Bayometriki Nicholaus Natay kutoka Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akishiriki zoezi la uboreshaji wa taarifa zake katika Daftari la Kudumu la Mpiga Kura tarehe 17 Mei, 2025 katika Ofisi ya Serikali ya Kijiji, Chamwino mkoani Dodoma, kulia ni Mwendesha Kifaa cha Bayometriki Nicholaus Natay kutoka Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akishiriki zoezi la uboreshaji wa taarifa zake katika Daftari la Kudumu la Mpiga Kura tarehe 17 Mei, 2025 katika Ofisi ya Serikali ya Kijiji, Chamwino mkoani Dodoma, kulia ni Mwendesha Kifaa cha Bayometriki Nicholaus Natay kutoka Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi waliojitokeza kushiriki zoezi la uboreshaji wa taarifa katika Daftari la Kudumu la Mpiga Kura tarehe 17 Mei, 2025 katika Ofisi ya Serikali ya Kijiji, Chamwino mkoani Dodoma.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news