Rais Dkt.Samia awasili Kilimanjaro kushiriki maziko ya Hayati Msuya

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Viongozi mbalimbali wa Chama na Serikali alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro kwa ajili ya kushiriki maziko ya aliyekuwa Makamu wa Kwanza wa Rais na Waziri Mkuu Mstaafu Hayati Mzee Cleopa David Msuya yatakayofanyika kesho (13 Mei, 2025) Kijijini kwake Wilaya ya Mwanga Mkoa wa Kilimanjaro.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news