Serikali kutunza vyanzo vya maji kwa manufaa ya wananchi

DODOMA-Serikali kupitia Wizara ya Maji inaendelea kuongeza jitihada za utunzaji na ulindaji wa vyanzo vya maji katika maeneo mbalimbali nchini ili kuwa na uhakika wa rasilimali za maji kufikisha huduma ya uhakika ya maji kwa wananchi.
Kaimu Mkurugenzi wa Rasilimali za Maji,Bw. Robert Sunday ameongoza majadiliano kuhusu uendelezaji wa rasilimali za maji nchini.
Majadiliano hayo yamefanyika Mtumba, jijini Dodoma.Mjadala huo utakaodumu kwa siku tatu umewakutanisha wadau wa Sekta ya Maji wakiwamo washirika wa maendeleo na kutoka sekta ya umma.

Miongoni mwa mambo muhimu katika kikao hicho ni namna yakusimamia na kufuatilia fedha zinazo tolewa kwajili ya shughuli za usimamizi na uendelezaji wa rasilimali za maji na ubora wa maji nchini.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news