DAR-Mei 20,2025 Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imepokea ugeni kutoka Idara ya Huduma za Hali ya Hewa ya Zimbabwe (MSD), waliokuja nchini kwa ziara ya mafunzo ili kujifunza kuhusu masuala mbalimbali ya huduma za hali ya hewa.
Ugeni huo umeichagua TMA kwa kutambua mchango na mafanikio makubwa ya mamlaka hiyo katika kuimarisha huduma za hali ya hewa, si tu kwa Tanzania bali pia kwa bara la Afrika kwa ujumla.
Tags
Habari
Kimataifa
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA)
Tanzania Meteorological Agency (TMA)
Utabiri wa Hali ya Hewa Tanzania


















