Waziri Mkuu akutana na Mwenyekiti wa Chama cha Urafiki wa Wabunge wa Japan na Afrika

TOKYO-Waziri Mkuu, Kasim Majaliwa Mei 29, 2025 alikutana na kuzungumza na Mwenyekiti wa Chama cha Wabunge wa Japan cha Urafiki na Afrika (Africa Union Parliamentarians Friendship) Mheshimiwa Ichiro Aisawa, kwenye Ofisi za Bunge la Japan.
Katika mazungumzo yao walijadili kuhusu kuendeleza urafiki kati ya Bunge la Tanzania na Bunge la Japan.
Pia, walijadili kuhusu masuala mbalimbali ya uwekezaji na biashara kati ya Tanzania na Japan, pamoja na kumkaribisha kutembelea Tanzania ili kujionea vivutio mbalimbali ya utalii.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news