NILIPOFIKISHA miaka thelathini, nilianza kuhisi shinikizo kutoka kila upande.
Marafiki zangu wa karibu walikuwa wameshaolewa, baadhi walikuwa na watoto wawili au watatu, huku mimi nikiendelea kuishi kwa mama yangu kama msichana mdogo. Sio kwamba sikuwa napendwa, la hasha.

Nilikuwa nakutana na wanaume wazuri, wanaonipenda na kuniahidi ndoa, lakini kila safari ilipofikia hatua ya kuzungumza kuhusu mahari au mipango ya harusi, mambo yaliharibika ghafla.
Mwingine alipotea tu bila sababu, mwingine alinitukana bila kosa, na mwingine aliniambia ameamua kurudi kwa ex wake. Ilikuwa ni kama laana fulani isiyoeleweka...SOMA ZAIDI HAPA