DC wa Malinyi asaidia kukwamua gari lililokwama eneo la Iragua

Mkuu wa Wilaya ya Malinyi, Sebastian Waryuba (mwenye shati jeupe) akitoa maelekezo ya kukwamua gari lililokwama eneo la Iragua, Ulanga kwa zaidi ya saa tatu kutokana na barabara kuharibika na kusababisha foleni kubwa tarehe 13 Juni 2025, DC Waryuba ni miongoni mwa waliokwama. Hivi karibuni Rais Samia Suluhu Hassan aliahidi kujenga barabara hiyo ya Lupilo - Malinyi (Kilometa 110) kwa kiwango cha lami.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news