DODOMA-Wanafunzi 149,818 sawa na asilimia 69.96% wamechaguliwa kujiunga na kidato cha tano, huku 64,323 wakipangiwa vyuo vya elimu ya ufundi na ualimu, kwa mwaka wa masomo 2025.
Hayo ni kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo Juni 6,2025 na Waziri wa wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa Serikali za Mitaa (OR-TAMISEMI), Mohamed Mchengerwa.
Amesema kuwa, jumla ya wanafunzi 214,141 (wasichana 97,517 na wavulana 116,624) walikuwa na sifa za kuchaguliwa, wakiwemo 1,028 wenye mahitaji maalumu.
UCHAGUZI WA WANAFUNZI WA KIDATO CHA TANO NA VYUO VYA KATI, 2025
BOFYA HAPA KUONA ORODHA YA WANAFUNZI WALIOPANGWA KWENDA SHULE MOJA
CHAGUA MKOA ULIKOSOMA
| ARUSHA | DAR ES SALAAM | DODOMA |
| GEITA | IRINGA | KAGERA |
| KATAVI | KIGOMA | KILIMANJARO |
| LINDI | MANYARA | MARA |
| MBEYA | MOROGORO | MTWARA |
| MWANZA | NJOMBE | PWANI |
| RUKWA | RUVUMA | SHINYANGA |
| SIMIYU | SINGIDA | SONGWE |
| TABORA | TANGA |
