KWA muda mrefu, maisha yangu ya ajira yalikuwa ya mashaka na mateso. Kila kazi niliyopata, haikudumu zaidi ya miezi mitatu hadi sita.
Mara nyingine nilifutwa kazi bila kosa lolote, mara nyingine kampuni ilifunga ghafla, au mazingira ya kazi yanageuka ya mateso hadi nalazimika kuacha mwenyewe.
Marafiki walinicheka, familia ikaanza kuniona mzigo, na mimi mwenyewe nilianza kujiona kama mtu asiye na bahati.

Nilikuwa na elimu nzuri. Nilimaliza chuo kikuu kwa alama za juu na nilikuwa na ujuzi wa kutosha.
Nilijituma kazini, nilikuwa mtiifu na mwaminifu kwa waajiri wangu, lakini bado sikuweza kushikilia kazi hata moja.
Wakati mwingine hata nilipoitwa kwa usaili, nilihisi kama kila kitu kinaenda sawa, lakini sipati nafasi.
Watu walionizidi darasani walikuwa wameshapanda vyeo, mimi nilibaki niki...SOMA ZAIDI HAPA