Magazeti leo Juni 20,2025



















KUNA jambo ambalo unaweza kusikia watu wakisema hadi kulifanikisha kuna ugumu sana, lakini kwako likaja kuwa rahisi ajabu kiasi kwamba unashangaa nini hiki kimenitendekea.

Ndivyo ilivyokuwa kwangu wakati natafuta kazi ya ndoto zangu ambayo nimeisomea hadi Chuo Kikuu. Jina langu Zurimami, nimesomea taaluma ya Rasilimalia Watu (HR), ilikuwa ndoto yangu kufanya hivyo.
Baada ya kumaliza chuo tu, nilishauriwa na baadhi ya watu kuwa nitafute moja ya Ofisi mjini niombe kazi niwe najitolea bila malipo ili kupata uzoefu maana waajiri wengi hupenda kuajiri wafanyakazi wenye uzoefu.

Nilikubaliana na ushauri wao na kuanza kuitafuta nafasi hiyo, nakumbuka dada yangu, Ney ndiye...SOMA ZAIDI HAPA

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news