Magazeti leo Juni 30,2025

Bondia wa ngumi za kulipwa Hassan Mwakinyo amesikitishwa na kitendo cha msanii wa kike Yammi kuandika ujumbe wa kutaka kujiua kutokana na hali ya kimaisha ya muziki wake anayopitia hivi sasa.
"Pole sana yammi lakini kama utakumbuka vizuri mimi nilikua mtu wa mwanzo mwanzo kabisa kukusihi na dunia ya umaarufu, Lakini uli ubeba ukasahau na wewe umezaliwa ni mtoto kwa wazazi wako, na hakuna mzazi angependo kuona mwanae ana vaa vile unavyo vaa."
l

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news