Magazeti leo Juni 4,2025

Jinsi nilivyokwepa kutoa rushwa ya ngono ili kupata kazi

KUSEMA kweli, nikiwa kama dada ninayepambana, itanichukua miaka mingi sana kuja kusahau kitendo cha Bosi wangu niliyekuwa namuheshimu sana alipoaniambia ili kupanda cheo kazini basi ni lazima nilale na angalau mara mbili.

Nilikataa mara moja, kwani uwezo wa kazi ninao mzuri na isitoshe nimesoma vizuri na vyeti vya kitaaluma ninavyo.

Nikajisema kimoyo moyo kama vipi nitaacha hii kazi akiendelea kunisumbua kuhusu jambo hilo.
Baada ya kumkatalia Bosi, haukuisha mwezi rafiki yangu wa kike ambaye alinikuta kazini nikiwa na miaka miwili aliweza kupandishwa cheo pamoja na mshahara huku mimi nikisalia mtupu.

Nilijua fika ni hasira za Bosi dhidi yangu na asingeza kunifukuza kutokana mkataba wangu ulikuwa na kipengele iwapo nitafukuzwa wanilipe fidia kwa muda wote uliosalia.

Jambo hilo liliniacha na msongo sana wa mawazo, niliamua kumpigia rafiki yangu simu aliyepo...SOMA ZAIDI HAPA

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news