KIZAZAA kilitokea katika hoteli moja eneo la mjni wakati ambapo umati wa watu ulifurika katika hoteli hiyo wakitaka kujionea, mwanaume na mke waliokua wamenaswa wakifanya tendo la ndoa, nje ya ndoa zao.
Kila mtu aliyekuwa eneo hilo alitaka kufika kujionea wapenzi hao wawili wanaosemekana, kukwamana walipokua wakishiriki tendo la ndoa, Iliwalazimu walinda usalama kutumia vitoa machozi kuwatawanya watu hao waliokuwa wanaongezeka eneo hilo kwa wingi.

Mumewe mwanamke huyo, Johnston Kabadi amesema mkewe, ambae wamekua kwenye ndoa kwa muda wa miaka 10, amekuwa akishiriki tendo la ndoa nje ya ndoa yao, na mara...SOMA ZAIDI HAPA
Tags
Kurasa za Magazeti
Kurasa za Mbele na Nyuma za Magazeti
Magazeti
Magazeti ya Leo
Magazetini
Magazetini leo
Yaliyojiri Magazetini Leo