Mke wa mtu anasiana na mchepuko, mumewe ashuhudia!

KIZAZAA kilitokea katika hoteli moja eneo la mjni wakati ambapo umati wa watu ulifurika katika hoteli hiyo wakitaka kujionea, mwanaume na mke waliokua wamenaswa wakifanya tendo la ndoa, nje ya ndoa zao.

Kila mtu aliyekuwa eneo hilo alitaka kufika kujionea wapenzi hao wawili wanaosemekana, kukwamana walipokua wakishiriki tendo la ndoa, Iliwalazimu walinda usalama kutumia vitoa machozi kuwatawanya watu hao waliokuwa wanaongezeka eneo hilo kwa wingi.
Inasemekana wawili hao wamekua kwenye mahusiano kwa muda mrefu japo walikua na wapenzi wao kwenye ndoa zao, wawili hao walikua mwanaume wa umri wa miaka 24, na mwanamke mwenye miaka 30 ambao mara kwa mara wameonekana pamoja wakitembelea hoteli hiyo kwa muda mrefu sasa.

Mumewe mwanamke huyo, Johnston Kabadi amesema mkewe, ambae wamekua kwenye ndoa kwa muda wa miaka 10, amekuwa akishiriki tendo la ndoa nje ya ndoa yao, na mara...SOMA ZAIDI HAPA

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news