SUALA la utapeli limekithiri kwenye ulimwengu wa sasa, siku haiwezi kupita bila mtu moja au wawili kulia kutokana na ulaghai wa pesa ama kitu kingine cha thamani.
Mtu anapolaghaiwa huaachwa akiwa amesononeka ajabu na hata wakati mwingine anaweza kukumbwa na mzongo wa mawazo ama hata mshtuko wa moyo.

Tuliishi katika mji wa Moshi ambapo mume wangu alikuwa mfanyabiashara wa kuuza bidha za ujenzi, tuliifanya kazi ile na yeye kwani ilikuwa kazi ambayo tuliitegemea na ama kwa hakika ilileta mapato mengi zaidi.
Jirani yetu Kamau pamoja na marafiki zake walikuja nyumbani siku moja huku wakiwa na ajenda kwamba walikuwa wakijua mahali ambapo tungepata bidhaa za ujenzi za kuuza na ambazo zilikua bei rahisi.
Mimi na mume wangu hatukusita kwani tulipokea suala lile kwa mikono yote kwani ingeturahisishia mambo katika biashara yetu...SOMA ZAIDI HAPA