Wakili Mkuu wa Serikali,Dkt. Ally Possi akimsikiliza Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Prof. Paramagamba Kabudi wakati akichangia mada kuhusu kuendesha majadiliano ya kimkakati wakati wa Mafunzo kwa Mawakili wa Serikali yanayofanyika jijini Arusha.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Prof.Palamagamba Kabudi akichangia mada kuhusu kuendesha majadiliano ya kimkakati wakati wa Mafunzo kwa Mawakili wa Serikali yanayofanyika jijini Arusha.
Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Mhe. Hamza Johari akitoa mada kuhusu kuendesha majadiliano ya kimkakati wakati wa Mafunzo kwa Mawakili wa Serikali yanayofanyika jijini Arusha.Naibu Wakili Mkuu wa Serikali,Bi. Alice Mtulo akimsikiliza Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Mhe. Hamza Johari wakati akitoa mada kuhusu kuendesha majadiliano ya kimkakati wakati wa Mafunzo kwa Mawakili wa Serikali yanayofanyika Jijini Arusha.
Jaji wa Mahakama ya Rufani Tanzania, Mhe. George Masaju akichangia mada kuhusu kuendesha majadiliano ya kimkakati wakati wa mafunzo kwa Mawakili wa Serikali, kulia ni Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Mhe. Hamza S. Johari akifuatilia mijadala katika mafunzo hayo yaliyofanyika jijini Arusha.
Gavana mstaafu wa Benki Kuu ya Tanzania, Mhe. Prof. Florence Luoga akichangia mada kuhusu kuendesha majadiliano ya kimkakati wakati wa Mafunzo kwa Mawakili wa Serikali yanayofanyika jijini Arusha.
Tags
Dkt.Ally Possi
Habari
Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali
Picha
Picha Chaguo la Mhariri
Wakili Mkuu wa Serikali




