Picha:Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria afunga mafunzo ya Mawakili wa Serikali

Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria, ndugu Eliakim Maswi akizungumza na Mawakili wa Serikali wakati akifunga Mafunzo kwa Mawakili hao yaliyofanyika jijini Arusha tarehe 2-4 Juni, 2025.
Jaji wa Mahakama ya Rufani, Mhe. Prof. Ubena Agatho akitoa mada kuhusu matumizi ya akili mnemba wakati wa Mafunzo kwa Mawakili wa Serikali yaliyofanyika jijini tarehe 2-4 Juni, 2025 Arusha.
Naibu Wakili Mkuu wa Serikali, Bi. Alice Mtulo akizungumza na Mawakili wa Serikali wakati wa kufunga Mafunzo kwa Mawakili yaliyofanyika jijini Arusha tarehe 2-4 Juni 2025.
Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali, Bi. Asha Hayeshi akizungumza na Mawakili wa Serikali wakati wa kufunga Mafunzo kwa Mawakili yaliyofanyika jijini Arusha tarehe 2-4 Juni,2025.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria, ndugu Eliakim Maswi akikabidhi tuzo kwa baadhi ya wafadhili wa mafunzo ya Mawakili wa Serikali yaliyofanyika tarehe 2-4 Juni, 2025 jijini Arusha.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria, ndugu Eliakim Maswi akikabidhi tuzo kwa baadhi ya wafadhili wa mafunzo ya Mawakili wa Serikali yaliyofanyika tarehe 2-4 Juni, 2025 jijini Arusha.
Mawakili wa Serikali kutoka Wizara, Taasisi za Serikali na Halmashauri za Wilaya na Mikoa wakimsikiliza Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria, ndugu Eliakim Maswi (hayupo pichani) wakati akifunga Mafunzo kwa Mawakili hao yaliyofanyika jijini Arusha tarehe 4 Juni, 2025.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news