MUNICH-Klabu ya Paris Saint-Germain (PSG) ya Ufaransa imetwaa Ubingwa wa Ligi ya Mabingwa barani Ulaya (UEFA) kwa mwaka 2025 chini ya Kocha Mkuu,Luis Enrique.
Ushindi huo waliupata baada ya kuifunga Inter Milan mabao 5-0 katika mchezo wa fainali ulipigwa Mei 31, 2025 katika uwanja wa Allianz Arena jijini Munich,Ujerumani.