ZANZIBAR-Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Alhaj Dkt. Hussein Ali Mwinyi, ameungana na waumini wa Dini ya Kiislamu katika Sala ya Ijumaa pamoja na Sala ya Jeneza ya marehemu Abdallah Ali Mfaume (kaka wa Katibu Mtendaji wa Ofisi ya Mufti Mkuu wa Zanzibar), iliyoswaliwa katika Msikiti wa Miembeni leo Juni 13,2025.









