Waziri Dkt.Ndumbaro azindua Chapa ya Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali (OSG Branding Manual)

Waziri wa Katiba na Sheria, Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro na viongozi wengine wakionesha Chapa ya Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali baada ya kuizundua wakati wa Mafunzo kwa Mawakili wa Serikali yanayofanyika Jijini Arusha.
Muonekano wa Chapa ya Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali (OSG Branding Manual).
Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro akikata utepe kuzindua Chapa ya Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali (OSG Branding Manual) baada ya kufungua Mafunzo kwa Mawakili wa Serikali yanayofanyika Jijini Arusha. Kulia kwake akishuhudia ni Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi.
Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro akikata utepe kuzindua Chapa ya Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali (OSG Branding Manual) baada ya kufungua Mafunzo kwa Mawakili wa Serikali yanayofanyika Jijini Arusha. Kulia kwake akishuhudia ni Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt.Ally Possi.
Waziri wa Katiba na Sheria, Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro akizungumza na Mawakili wa Serikali wakati akifungua Mafunzo kwa Mawakili hao kwa lengo la kuwajengea uwezo yanayofanyika jijini Arusha.
Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi akizungumza na Mawakili wa Serikali wakati wa Mafunzo kwa Mawakili hao kwa lengo la kuwajengea uwezo yanayofanyika jijini Arusha.
Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi akizungumza na Mawakili wa Serikali wakati wa Mafunzo kwa Mawakili hao kwa lengo la kuwajengea uwezo yanayofanyika jijini Arusha.
Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Mhe. Hamza Johari akitoa salamu za Ofisi yake wakati wa Mafunzo kwa Mawakili wa Serikali yanayofanyika jijini Arusha.
Naibu Wakili Mkuu wa Serikali, Bi. Alice Mtulo akitoa salamu za Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali wakati wa Mafunzo kwa Mawakili wa Serikali yanayofanyika jijini Arusha.
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria, Mhe. Dkt. Joseph Mhagama akizungumza na Mawakili wa Serikali wakati wa ufunguzi wa Mafunzo kwa Mawakili hao yanayofanyika jijini Arusha.
Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi akikabidhi tuzo kwa mmoja wa wafadhili na wakufunzi wa mafunzo kwa Mawakili wa Serikali yanayofanyika jijini Arusha.
Naibu Wakili Mkuu wa Serikali, Bi. Alice Mtulo akikabidhi tuzo kwa mmoja wa wafadhili wa mafunzo kwa Mawakili wa Serikali yanayofanyika jijini Arusha.
Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali, Bi. Prisca Ulomi akitoa maelezo kuhusu Mfumo wa Menejimenti ya Taarifa za Mashauri, Tovuti na mtandao na Chapa ya Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali kabla ya uzinduzi uliofanyika jijini Arusha.

Waziri wa Katiba na Sheria, Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro (aliyeketi katikati) akiwa kwenye picha ya pamoja na baadhi ya Mawakili wa Serikali baada ya kufungua Mafunzo kwa Mawakili hao yanayofanyika jijini Arusha.

Mawakili wa Serikali kutoka Wizara, Taasisi za Serikali na Halmashauri za Wilaya na Mikoa wakimsikiliza Waziri wa Katiba na Sheria, Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro wakati akifungua Mafunzo kwa Mawakili hao yanayofanyika jijini Arusha.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news