DODOMA-Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt.Hussein Ali Mwinyi ameshiriki Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, kilichoongozwa na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan Jijini Dodoma tarehe 28 Julai, 2025.






