GRENADA-Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Julai 28, 2025 ameshiriki katika ufunguzi wa Jukwaa la nne wa Kibiashara na Uwekezaji kati ya Afrika na Karibiani (Afri-Caribbean Trade and Investment Forum - ACTIF 2025) mjini St. George’s, nchini Grenada, Julai 28,2025 ambapo alimwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan.





