KLABU a Yanga SC imemtambulisha rasmi kocha kutoka Ufaransa, Romain Khalid Folz, kuwa nahodha mpya wa benchi la ufundi kuelekea msimu mpya wa mashindano ya ndani na kimataifa.Folz, ambaye ni mmoja wa makocha mahiri barani Afrika ana leseni ya juu ya UEFA Pro.
Kocha huyo mwenye umri wa miaka 34, amewahi kupita katika vilabu mbalimbali vya Afrika miongoni ni Marumo Gallants na AmaZulu, aliwahi pia Kuwa kocha msaidizi wa Timu ya Taifa ya Uganda, Pyramids, pamoja na Mamelodi Sandowns.
Tags
Kurasa za Magazeti
Kurasa za Mbele na Nyuma za Magazeti
Magazeti
Magazeti ya Leo
Magazetini
Magazetini leo
Yaliyojiri Magazetini Leo
























