Magazeti leo Julai 28,2025

MWALIMU wa Shule ya Msingi Sinya, Samwel Mlay anadaiwa kujitoa uhai kwa kujichoma moto akiwa nyumbani kwao wilayani Rombo mkoani Kilimanjaro, Julai 25, mwaka huu. Marehemu alikuwa akifundisha katika shule hiyo iliyopo Longido mkoani Arusha.
Kwa mujibu wa Kamanda wa Kikosi cha Zimamoto Mkoa wa Kilimanjaro, Jeremiah Mkomagi, inadaiwa kuwa marehemu alikumbwa na msongo wa mawazo uliotokana na mgogoro wa muda mrefu wa ndoa yake jambo linalodhaniwa kuwa chanzo cha tukio hilo la kusikitisha.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news