Magazeti leo Julai 31,2025

MKURUGENZI Mkuu wa Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (UDART), Waziri Kindamba, amesema kuwa Serikali ipo kwenye hatua za awali za kuangalia uwezekano wa kuanzishwa kwa sheria maalum ya kulinda miundombinu ya usafiri wa Mwendokasi, kama ilivyo kwa miundombinu ya reli.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, Kindamba alisema kuwa licha ya juhudi zinazofanywa na Jeshi la Polisi katika kuhakikisha usalama wa miundombinu ya BRT, bado changamoto ya matumizi holela na uharibifu wa miundombinu hiyo inaendelea kushamiri.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news