Mechi zote za Kundi B michuano ya CHAN zinazotumia uwanja wa Benjamin Mkapa
Mechi zote za Kundi B zinazotumia uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam.Taifa Stars itafungua dimba dhidi ya Burkina Faso katika michuano ya Mataifa ya Afrika kwa wachezaji wa ndani yaani CHAN siku ya Agosti 2,2025.