Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi ameondoka Zanzibar leo, tarehe 7 Julai 2025, na kuwasili Dar es Salaam kwa ajili ya kufungua Maonesho ya 49 ya Biashara ya Kimataifa ya Saba Saba yanayofanyika katika viwanja vya Sabasaba, Kilwa Road, jijini Dar es Salaam.



