Rais Dkt.Mwinyi awasili Lupaso kushiriki ibada ya kumbukizi ya miaka mitano ya Hayati Benjamin Mkapa

MTWARA-Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, ameondoka Zanzibar leo Julai 23, 2025 na kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Nachingwea tayari kuelekea Lupaso, Mtwara, kuhudhuria Ibada Maalum ya Kumbukumbu ya Miaka Mitano ya Rais wa Awamu ya Tatu wa Tanzania, Hayati Benjamin William Mkapa.
Alipowasili alipokewa na Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Mhe. Kanali Patrick Sawala, pamoja na Viongozi mbalimbali wa Serikali na Vyombo vya Ulinzi na Usalama .

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news