MPENDWA msomaji wa Jarida hili la "PPAA Bulletin"karibu tena ujisomee toleo la tano (05) la Jarida la Mtandaoni kutoka Mamlaka ya Rufani ya Zabuni za Umma (PPAA).
Jarida hili hutumika kama njia mojawapo ya Mawasiliano ya Kimkakati ya PPAA katika kuuhabarisha umma kuhusu majukumu na shughuli zilizotekelezwa kwa kipindi cha miezi mitatu.
Jarida hili ni muendelezo wa majarida mengine yaliyopita yanayokuhabarisha kuhusu shughuli za PPAA kwa kipindi cha miezi mitatu.ENDELELEA;

















