CHUO cha Taifa cha Usafirishaji (NIT) kimedhamiria kuleta mapinduzi kwenye sekta ya kilimo baada ya kubuni mashine mbalimbali za uchakataji mazao ya kilimo kwa lengo la kutatua changamoto zinazowakabili wakulima.
Miongoni mwa mashine hizo ambazo zimebuniwa na wanafunzi wa chuo hicho ya kukamua asali na aplikesheni mbalimbali ikiwemo ya mbogaboga ambayo ipo kwenye hatua za ukamilishaji na itakapokamilika itamrahisishia mkulima kupata taarifa mbalimbali za masoko.
Tags
Kurasa za Magazeti
Kurasa za Mbele na Nyuma za Magazeti
Magazeti
Magazeti ya Leo
Magazetini
Magazetini leo
Yaliyojiri Magazetini Leo















