Mgombea wa Chama cha UPDP achukua fomu za Urais INEC


Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Mahakama ya Rufaa Jacobs Mwambegele akimkabidhi mkoba wenye fomu za kuomba kuteuliwa kuwa Mgombea wa Kiti cha Rais na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama cha United People's Democratic Party (UPDP), Mhe. Twalib Ibrahim Kadege. Mgombea huyo wa UPDP aliambatana na Mgombea Mwenza, Mhe. Abdalla Mohd Khamisi (kushoto), amechukua fomu hizo Agosti 10, 2025 ambapo tume inatarajia kufanya uteuzi Agosti 27, mwaka huu. Kulia ni Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume, Ndg. Ramadhan Kailima. (Picha na INEC).
Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Mahakama ya Rufaa Jacobs Mwambegele akimkabidhi mkoba wenye fomu za kuomba kuteuliwa kuwa Mgombea wa Kiti cha Rais na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama cha United People's Democratic Party (UPDP), Mhe. Twalib Ibrahim Kadege. Mgombea huyo wa UPDP aliambatana na Mgombea Mwenza, Mhe. Abdalla Mohd Khamisi (kushoto) alichukua fomu hizo Agosti 10, 2025 ambapo tume inatarajia kufanya uteuzi Agosti 27, mwaka huu. (Picha na INEC).
Mgombea wa Kiti cha Rais na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama cha United People's Democratic Party (UPDP), Mhe. Twalib Ibrahim Kadege (kulia) na Mgombea Mwenza, Mhe. Abdalla Mohd Khamisi wakionesha mkoba wenye fomu.
Mgombea wa Kiti cha Rais na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama cha United People's Democratic Party (UPDP), Mhe. Twalib Ibrahim Kadege akisaini.
Mgombea wa nafasi ya Makamu wa Rais kupitia UPDP, Mhe. Abdalla Mohd Khamisi akisaini kitabu.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news