Mheshimiwa Majaliwa ashiriki kupiga kura za maoni CCM Ruangwa
LINDI-Waziri Mkuu na aliyekua Mbunge wa Jimbo la Ruangwa Kassim Majaliwa leo Agosti 04,2025 ameshiriki zoezi la kupiga kura ya maoni ya wagombea ubunge jimbo la Ruangwa, katika Kata ya Nandagala.