Mkurugenzi Mkuu wa TAA atembelea banda la TMA maonesho ya Nananane

DODOMA-Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA),Abdul Mombokaleo ametembelea banda la TMA na kupata elimu ya masuala mbalimbali ikiwa ni pamoja na hatua za uandaaji wa utabiri wa hali ya hewa, usambazaji wake na elimu kuhusu Chuo cha Taifa cha Hali ya Hewa www.nmtc.ac.tz
TMA imeendelea kupokea wageni na wadau wa hali ya hewa katika banda la maonesho ya kitaifa ya nanenane 2025 yanayoendelea katika viwanja vya Nzuguni jijini Dodoma na kutoa elimu juu ya huduma zake.
Maonesho haya yamebeba kaulimbiu:"Chagua Viongozi Bora kwa Maendeleo ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi 2025."

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news