DODOMA-Katibu Tawala wa Wilaya ya Mkalama Singida, Bi.Happyness Sulle ameshauri uongozi wa Chuo cha Taifa cha Hali ya Hewa www.nmtc.ac.tz kuongeza wigo wa kujitangaza na kufikiria hitaji la kuongeza kampasi katika maeneo ya mikoa mingine ili kuweza kuwafikia wahitaji wengi zaidi katika taaluma ya masuala ya hali ya hewa.
Tags
Chuo cha Taifa cha Hali ya Hewa jijini Mwanza
Habari
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA)
Tanzania Meteorological Agency (TMA)

