Prof.Nombo akagua maandalizi ya Kongamano la Maadhimisho ya Miaka 50 ya Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima

DAR-Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Carolyne Nombo amekagua maandalizi ya Kongamano la Maadhimisho ya Miaka 50 ya Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima linalofanyika leo Agosti 25, 2025 JNICC jijini Dar es Salaam.
Kongamano hili linalenga kutathimini mafanikio ya Taasisi hiyo katika kuendeleza elimu jumuishi na endelevu kwa watu wazima nchini.
Mgeni rasmi katika Maadhimisho hayo ni Mhe. Majaliwa Majaliwa, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news