ARUSHA-Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Tanzania (TAKUKURU) Mkoa wa Arusha imefanikiwa kuimarisha usimamizi miradi ya maendeleo yenye thamani ya shilingi bilioni 346 katika kipindi cha Aprili hadi Juni,2025.
Hayo ni kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Mkuu wa TAKUKURU Mkoa wa Arusha, Zawadi Ngailo ambapo amefafanua kuwa;
.jpeg)


