KILIMANJARO-Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Tanzania (TAKUKURU) Mkoa wa Kilimanjaro kwa kipindi cha Aprili hadi Juni,2025 imeokoa shilingi milioni 10.96 za Serikali katika mradi wa shule mpya na chama cha ushirika mkoani humo.
Hayo yamebainishwa na Mkuu wa TAKUKURU Mkoa wa Kilimanjaro,Musa Chaulo kupitia taarifa aliyoitoa ambapo amefafanua kuwa;
Tags
Habari
Kilimanjaro Region
PCCB Tanzania
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU)
TAKUKURU
.jpeg)


