MBEYA-Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Tanzania (TAKUKURU) Mkoa wa Mbeya imeokoa zaidi ya shilingi milioni 47 na kuwezesha halmashauri kuongeza mapato ya zaidi ya shilingi milioni 200.
.jpeg)
Hayo ni kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Mkuu wa TAKUKURU Mkoa wa Mbeya,Maghela Ndimbo ambapo amefafanua kuwa;
Tags
Habari
PCCB Tanzania
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU)
TAKUKURU
TAKUKURU Mbeya


