TAKUKURU yaokoa shilingi milioni 22 za ushuru wa mazao ya kilimo Halmashauri ya Mpanda

KATAVI-Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Tanzania (TAKUKURU) Mkoa wa Katavi imeokoa zaidi ya shilingi milioni 22 za ushuru wa mazao ya kilimo na kufanikisha kuongezeka kwa mapato ya Halmashauri ya Mpanda.
Hayo ni kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Kaimu Mkuu wa TAKUKURU Mkoa wa Katavi, S.M.Kiondo akifafanua kuwa;

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news