Zanzibar yachota uzoefu Dodoma,kuelekea ujenzi wa Mji wa Serikali huko Kisakasaka

DODOMA-Kamati ya wataalamu kutoka Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar ikiongozwa na Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar,Dkt.Islam Seif Salum imetembelea miradi mikubwa jijini Dodoma ikiwemo Mji wa Serikali Mtumba na Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Msalato kujifunza utekelezaji wa Ujenzi wa Mji wa Serikali.
Ziara hiyo inalenga kuandaa mazingira ya ujenzi wa ofisi za Serikali na Baraza la Wawakilishi eneo la Kisakasaka, Zanzibar.
Viongozi hao wamempongeza Rais Dkt. Samia kwa kuimarisha maendeleo ya Makao Makuu ya Nchi kupitia miradi ya kimkakati.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news