Katibu Mkuu Wizara ya Maji aweka kambi Butimba kwa saa 24 kuhakikisha huduma ya maji inarejea Mwanza

MWANZA-Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji Mhandisi Mwajuma Waziri amefika katika mradi wa maji wa Butimba kufuatilia marekebisho yanayoendelea ili kurejesha huduma ya maji katika hali ya kawaida kutokana na hitilafu iliyotokea katika mtambo wa kusukuma maji.
Mhandisi Mwajuma amefanya kazi kwa saa 24 na wataalam katika kurekebisha hitilafu iliyojitokeza kwa lengo la kuhakikisha maji yanapatikana kwa wananchi muda wote kutokana na uwekezaji mkubwa wa serikali katika mradi wa maji wa Butimba.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news