Klabu ya soka ya Tabora United inayoshiriki Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara imeuzwa kwa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) na sasa itajulikana kama TRA United Sports Club.
Klabu hiyo yenye maskani yake mkoani Tabora, baada ya kuuzwa itahamishwa jijini Dar es Salaam kuongeza idadi ya timu za jiji hilo kwenye Ligi Kuu kuwa tano ikiungana na Simba SC, Yanga SC, KMC FC na JKT Tanzania.
Tags
Kurasa za Magazeti
Kurasa za Mbele na Nyuma za Magazeti
Magazeti
Magazeti ya Leo
Magazetini
Magazetini leo
Yaliyojiri Magazetini Leo






























