SARA Jane Moore ambaye alimfyatulia risasi Rais wa 38 wa Marekani Gerald Ford katika jaribio la kumuua nje ya Hoteli ya San Francisco mwaka 1975 amefariki dunia.
Bi.Moore ambaye alihukumiwa kifungo cha maisha jela, lakini akaachiliwa kwa msamaha katika miaka yake ya mwisho, alikuwa na umri wa miaka 95.Mama huyo wa watoto wanne kutoka California alikiri hatia na kuhukumiwa kifungo cha maisha jela.Alitumikia jela miaka 32 kabla ya kuachiliwa kwa msamaha.
Tags
Kurasa za Magazeti
Kurasa za Mbele na Nyuma za Magazeti
Magazeti
Magazeti ya Leo
Magazetini
Magazetini leo
Yaliyojiri Magazetini Leo



















