NA DIRAMAKINI
SELEMANI Mwalimu wa Taifa Stars amepindua meza ya matokeo dakika ya 84 ya kipindi cha pili katika mchezo wa kuwania kufuzu fainali za Kombe la Dunia mwaka 2026.
Ni dhidi ya Congo Brazzaville ambao umepigwa leo Septemba 5,2025 katika dimba la The Alphonse Massemba-Débat Stadium mjini Brazzaville.
Wenyeji Congo Brazzaville walikuwa wa kwanza kupata bao dakika ya 68 kupitia mfungaji Dechan Moussavou.
Kwa matokeo hayo,Taifa Stars inaendelea kushika nafasi ya pili kwenye Kundi E ikiwa na alama 10 kwa michezo sita, nyuma ya vinara Morocco wenye alama 18 kwa michezo sita.
Congo Brazzaville yenyewe inashika nafasi ya tano ikiwa na alama moja kwa michezo sita, baada ya kupoteza michezo yote mitano ya mwanzo.
Group E
1 | 2-0 | 6 | 6 | 0 | 0 | 18 | 16 | 2 | 14 | |
2 | 6 | 3 | 1 | 2 | 10 | 6 | 5 | 1 | ||
3 | 5 | 2 | 0 | 3 | 6 | 9 | 7 | 2 | ||
4 | 0-2 | 5 | 2 | 0 | 3 | 6 | 6 | 6 | 0 | |
5 | 6 | 0 | 1 | 5 | 1 | 3 | 20 | -17 | ||
6 | 0 | 0 | 0 | 0 | 0 | 0 | 0 | 0 |






