TAKUKURU:Vijana hii ni fursa kwenu,changamkeni


NAMNA YA KUSHIRIKI: MAELEZO YA ZIADA

1. Jisajili kupitia: 🌐 www.anticorruption.life

2. Andaa kazi yako na uiwasilishe kupitia akaunti yako binafsi.

Kazi hiyo inatakiwa kuwa

■Poster na michoro: JPG, ukubwa A3, 300 dpi, uzito usiozidi 15 MB kila moja.

au

■Video: MP4, muda usiozidi dakika 2, azimio 3840x2160, uzito usiozidi 300 MB.

3. Kazi uliyoandaa hakikisha umeweka jina lako, umri, jina la nchi yaani Tanzania, kichwa cha habari cha kazi, na maelezo ya kazi husika. Ikiwa utatumia lugha ya Kiswahili ni vema ikawa na tafsiri ya lugha ya Kiingereza, kama utatumia lugha ya Kiingereza hamna haja ya kuwa na tafsiri.

4. Tuma kazi yako kabla ya Oktoba 1, 2025.

5. Washindi watatangazwa na kupewa zawadi Desemba 9, 2025 Siku ya Kimataifa ya Mapambano Dhidi ya Rushwa.

HAKUNA ADA AU GHARAMA YA USHIRIKI

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news